About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Saturday, February 2, 2013

LADY GAGA APINGA KUDAIWA NA MSAIDIZI WAKE

Msani mwenye mbwembwe za kutosha kutoka USA 'lady gaga' hapo jana katika video aliyoitoa amepinga kesi ya kudaiwa fedha na aliyekuwa msaidizi wake{PA}.msaidizi huyo aitwaye jennifer o'neill anadai kuwa anamdai lady gaga kiasi cha $393000 kama fidia ya yeye kufanya kazi nje ya muda yaani 'overtime' kwa masaa 7,168 aliyomfanyia kazi lady gaga kuanzia mwaka 2009 hadi 2011.Lady gaga amekasirishwa na kitendo hicho na kusema kwamba jennifer o'neill anataka pesa kwa kazi ambayo hajaifanya...

0 comments:

Post a Comment