About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Tuesday, December 4, 2012

Maajabu!! Ziwa lenye rangi ya pink

Kweli dunia ina mambo mengi ndio maana wahenga wakasema ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni.katika hali ya kushangaza huko Australia kuna ziwa lenye rangi ya Pink liitwalo 'HILLER LAKE' ziwa hilo lipo katika kisiwa kwenye bahari na limekuwa kivutio kikubwa kwa watalii katika nchi ya australia.kwa uchunguzi ulifanywa na wanasayansi wamebaini kuwa rangi hiyo imesababishwa na kuwepo kwa 'ALGAE' wengi katika ziwa hilo.bado haijabainika ni matatizo gani mtu anaweza akayapata kama akinywa au kuogelea maji hayo.hivyo basi wale mabinti{a.k.a watoto} wanaopenda rangi ya pink wanaweza wakaenda kutembelea waone rangi hiyo ilivyo nzuri ila mnaombwa msiogelee.pia mimi mwenyewe naipenda rangi pink kwasababu inaanziwa na letter "P".....wow!!!!!!!!!!!!!!!!

Njia rahisi ya kulala

Mimi huwa nashangaa xana mtu anaponiambia hawezi kupata usingizi au anapata usingizi mpaka anywe dawa.while kuna short-cut na njia rahisi ya kupata usingizi.ukitaka wewe chukua tu kitabu kinachokubore alafu anza kuchange style za kusoma kama huyo kijana Alafu huone kama hauta lalaaa......

Monday, December 3, 2012

Mmmh! Mabibi wengine xooo!

Wakati hapa bongo watu wenye utulivu mkubwa na wenye heshima kiumri ni bibi zetu lakini hali ni tofauti kwa nchi kama marekani kwa wazee hawa wamekuwa na vituko vingi xanaa na hata wengine kutokea kwenye comedian movies nyingi kuliko vijana.kama ukicheki bibi huyu ambaye amekwa addicted kwa kuvutA kitu cha cigarrete aliona isiwe shinda kwenye birthday yake na akaamua kuwasha sigara yake kwenye mishumaa aliyowekewa kwenye keki yake hiyo.xaxa sijui ingekuwaje kama bibi kutoka hapa bongo angeenda kuish huko mastate nahisi kama angekuwa anashinda na na huyo bibi, yeye kwenye biruhday yake angeomba aleletewe kitu cha 'UGOROOO.......

Je! osama bin laden angekuwa hizi,ingekuwajee?

Watu wanajudge the way osama alivyokimwili na mambo anayoyafanya.hii ni kwasababu mchizi ni simple{mwili wa kawaida} lakini alikuwa anafanya mambo makubwa amboyo yalikuwa yanatikisa dunia hasaa pande za U.S.A.sasa jee angekuwa ana mwili wa kikomando kama akina batista,tyson na great kal.. Watu si ndo wangemuogopa mpaka bhaasss..........................

Dah! Message zenye matumaini mwanzo ila mwisho xaxaa...

Ofcourse kuna vitu mwanzo ukiviona unaweza ukaxema ni vizurrr but unavyozidi kuchunguza unakuta vina kudisappoint.mfano mzuri ukicheki hyo sms ambayo jembe alikuwa anachat na kimwana wake! Mtoto alikuwa anatarajia tofauti kabisaaa na ambavyo jembe alikua anataka kumwambia...