About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Friday, March 29, 2013

Pic of d day{bean wyne}

Ymcmb gone funnyy!!!!!!!!!!!!!

Sunday, March 24, 2013

PICTURE OF D DAY

Stay stronger... You can make it

Wednesday, March 20, 2013

NA HII NDIO FULL HD SMARTPHONE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI KWA SASA!

Hii ni smartphone iitwayo 'VEGAS 6' inayotenezwa na kampuni ya PANTECH ya korea kusini.smarthphone hii(model ya android) ilizinduliwa tarehe 29/1/2013 huko seoul, korea kusini.Baadhi ya sifa za smartphone hii ni;
1.inaonyesha 1080p full high-defination[HD] video.
2.ina inchi 5.9[15cm]
3.internal memory ya 32GB
4.camera yenye uwezo wa 13megapixel
5.bluetooth 4.0
6.proximity sensor
7.light sensor.
8.accelerometer.
9.Gyroscope
10.electronic compass
11.battery kubwa la 3140mAh
na nyingine nyingii... Kwa hiyo ni kaza kwako kuipata maana ni kwa $795 tuu.

Daah! Hebu jionee jinsi chemchem ya maji inavyoweza kuunda vitu vingi

Na hivi ndivyo wajapani wanavyosumbua na teknolojia yao japokuwa wana macho madogo!!,hapa ni teknolojia inayotoa chemchem{fountain} ya maji ambayo inaweza ikaunda alama nyingi kama vile kuonyesha muda,joto,alama za musiki na maua.teknojia hii ipo japan katika mji wa osaka sehemu itwayo 'osaka station city' na imekuwa kivutio kikubwa kwa watalii wa mambo ya teknolojia. Mtu mpaka unajiuliza kwanini vitu vingi vizuri zipo japanii?!?

PICTURE OF D DAY{body builder}

Ebwana daaah! Ebwana diiii! Kuna watu wanatengeneza six parts lakini huyu dubwana naona yeye anatengeza 1part.......

Tuesday, March 19, 2013

PICTURE OF D DAY{drunk dog}

Aaaaah!!!!! This is real a weekend, i dont have to perfome my security duty... Hapa ni tungi baada ya tungi mpaka 6 in d morn'n!!!!!

NA HII NDIO PEN AMBAYO INAWEZA KUTOA WINO WA RANGI YOYOTE MTU ATAKAYO KUANDIKIA

Unapoambiwa teknolojia inakua,usidhani ni kwenye simu na computer tuu.! Bali ni hata kwenye vitu ambavyo unaweza ukavipuuzia.Hii ni pen iliyogunduliwa na mwanasayansi JIO SUN PARK ambayo inamuwezesha mtumiaji kuandikia rangi yoyote aitakayo kwa kunyonya{scan} rangi aitakayo kutoka kwenye kitu kingine chochote.pen hii imeundwa kwa kuwekewa kifaa kinacho gundua rangi{colour sensor}katika upande wake wa juu,kifaa hicho hugundua rangi ya kitu ambacho kimewekewa na hivyo huwa kinasafirisha rangi hiyo kwa njia ya dijitali{digital transmission} hadi sehemu ya katikati ya pen hii.Baada ya hapo, rangi hiyo iliyoletwa katika sehemu hiyo{inform of digital}hutengenezwa kwa kuchanganya wino wa blue,green na red ambao upo kwenye pen na kwahiyo ile rangi hutokea na tayari kwa kuandikia..!!! Lakini bila kusahau wahenga walivyosema 'kizuri hakikosa ubaya' pen hii ni gharama kwa sababu teknolojia yake ni mpya,na pia huwa inambidi mtumiaji kubadilisha battery na wino baada ya kipindi fulani cha utumiaji

NA HIZI NDIO 3D PRINTERS NA PICHA AMBAZO ZINAWEZA KUPRINT..

Ama kweli teknolojia duniani inakua kwa kasi ya ajabu sana ambapo unaambiwa inaanza kuizidi kasi ya global warming!!!!!!! Hapa unaziona printers ambazo zimengunduliwa hizi karibuni,printers hizi zenye uwezo wa kutoa picha zenye '3D-diamension' na zina scanner zenye uwezo wa kupiga picha za 3D!! Printers aina hii zipo za aina nyingi na zinatofautiana uwezo na ukubwa,aina za ni kama [1]3dtouch printer [2]project 1500 printer na [3]cube 3d printer-ambayo ni kwa matumizi ya nyumbani na inagharimu $1299.teknolojia hii iligunduliwa kwa mwanzo mwaka 2009 ila kwa sasa ndio imekuwa developed zaidi.kwa sasa kampuni inayoongoza kwa kuzalisha printers hizi ni ya SHAPEWAYS ambayo mwaka jana ilifungua kiwanda kipya huko LONG ISLAND CITY,NEW YORK,marekani na kilizinduliwa na mayor wa new york city kwa kukata utepe wa sherehe hiyo kwa kutumia mkasi wa 3D '3D printed scissor'. Kwa hiyo kazi kwako kuipata maana zinapatikanaa... :onyo!.sio kwa maduka ya hapa bongo,hapa ni baadae sanaaaaa!

Friday, March 15, 2013

PICTURE OF D DAY

Hapa unamcheki mtu mzima JUSTIN WYNE!!!!!!!!!!!!!!{combination ya justin bieber na lil wyne}nani ka apear d most????

Wednesday, March 13, 2013

PICTURE OF D DAY

Na haya ndio specific twitter owners

Tuesday, March 12, 2013

WANYAMA MBALIMBALI WENYE ULEMAVU WA NGOZI{albino}

Hawa ni baadhi ya wanyama ambao ni albino,hali hii imekuwa ikiwashangaza watu wengi ambao wamezokuona kwamba albino ni binadamu tuu!!!! Kwa upande mwingine unaweza ukasema kazi ya mungu haina makosa kwani baadhi ya wanyama hawa wanaonekana kuwa wazuri zaidi katika hali hii mfano ni ''twiga na simba'' Hapo sasaa ilivyokuwa kabla sijajua kuwa kuna wanyama ambao ni albino,ilikuwa tu nikioneshwa picha ya mnyama mwenye rangi nyeupe,jibu hapa ilikuwa nikusema kwamba huyo mnyama ni wakizunguuuuu loo!!!

Picture of d day

Hapa ndo unakuwa una waza john walker na savanna ziko wapi utulize mawazo!!!