About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Friday, August 9, 2013

Happy EID MUBARAAQ TO YOU ALL.......

Wishing all muslims all over the world happy celebrations on their long awaited ceremony EID MUBARAAQ..........................!!!!!!!!!!!!!!!!


on the pics its PETERDE'funky himself along with my boy KATAGA The hunter.

Tuesday, May 28, 2013

BREAKING NEWZZ!! MSANII WA BONGO FLAVA,ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA!!

Aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flava MANGWEIR almaarufu kama KAOBAMA! Amefariki dunia huko jijini johannesburg SOUTH AFRIKA kama vyanzo vya habari vilivyotufikia kutoka nchini huko.. Msanii huyo alienda nchini huko baada ya kupata mualiko wa kufanya show kutoka kwa mmoja wa wasanii wa huko.chanzo cha kifo cha mangweir kinasemekana ni baada ya yeye kudinga madawa ya kulevya kwa kiasi kikubwa{overdose} alipokuwa katika chumba alichokuwa akilala. Hata hivyo bado haijafahamika ni lini mwili wa marehemu huyu utasafirishwa kuja Tanzania.Mangweir aliwahi kuhit na nyimbo kali zikiwemo 'mikasi na nipeni dili' Mangweir anaungana na list ya wasanii waliofariki mwaka huu wakiwamo sajuki na bibi kidude.
#RIP

Saturday, May 4, 2013

HIZI NDIZO PICHA ZINAZOONESHA SWIMMING POOL ILIYOPO KATIKA GHOROFA YA 57

Kama haujawai kuikubal kauli isemayo "pesa haichagui matumizi" basi leo itakubidi uanze kuiamini!! Hizo ni picha za swimming pool katika hoteli ya kifahari iitwayo 'marina bay sands and casino bay' iliyopo singapore.swimming pool hyo kubwa ipo katika ghorofa ya 57! Ya hoteli hyo Na hutoa fursa muogeleaji kuangalia sehemu kubwa ya jiji huku anaponda raha ya kuogelea... Ila inahitaji waogelea wasio na midhahaa midhahaa maana endapo mtu atadondoka,basi tayari atakuwa ameandaliwa cheti chake cha kifo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Daaaah! pesa hizi...........................

Friday, March 29, 2013

Pic of d day{bean wyne}

Ymcmb gone funnyy!!!!!!!!!!!!!

Sunday, March 24, 2013

PICTURE OF D DAY

Stay stronger... You can make it

Wednesday, March 20, 2013

NA HII NDIO FULL HD SMARTPHONE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI KWA SASA!

Hii ni smartphone iitwayo 'VEGAS 6' inayotenezwa na kampuni ya PANTECH ya korea kusini.smarthphone hii(model ya android) ilizinduliwa tarehe 29/1/2013 huko seoul, korea kusini.Baadhi ya sifa za smartphone hii ni;
1.inaonyesha 1080p full high-defination[HD] video.
2.ina inchi 5.9[15cm]
3.internal memory ya 32GB
4.camera yenye uwezo wa 13megapixel
5.bluetooth 4.0
6.proximity sensor
7.light sensor.
8.accelerometer.
9.Gyroscope
10.electronic compass
11.battery kubwa la 3140mAh
na nyingine nyingii... Kwa hiyo ni kaza kwako kuipata maana ni kwa $795 tuu.

Daah! Hebu jionee jinsi chemchem ya maji inavyoweza kuunda vitu vingi

Na hivi ndivyo wajapani wanavyosumbua na teknolojia yao japokuwa wana macho madogo!!,hapa ni teknolojia inayotoa chemchem{fountain} ya maji ambayo inaweza ikaunda alama nyingi kama vile kuonyesha muda,joto,alama za musiki na maua.teknojia hii ipo japan katika mji wa osaka sehemu itwayo 'osaka station city' na imekuwa kivutio kikubwa kwa watalii wa mambo ya teknolojia. Mtu mpaka unajiuliza kwanini vitu vingi vizuri zipo japanii?!?