About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Sunday, February 3, 2013

Fwd: Ee bwana dah!!! Idadi ya watu watu wanaotumia simu china yafikia billioni 1.11

---------- Forwarded message ----------
From: petercpm1@gmail.com
Date: Sat, 01 Jan 2010 00:02:39 +0300
Subject: Ee bwana dah!!! Idadi ya watu watu wanaotumia simu china
yafikia billioni 1.11
To: go@blogger.com

Eenheee! Waache wachina waitwe wachina... Katika taarifa iliyotolewa
na wizara ya viwanda na taarifa ya teknolojia nchini china{MIIT} siku
ya alhamisi, imesema kuwa idadi ya wanaotumia simu za mkononi nchini
china imefikia bilioni 1.11 hadi mwisho wa mwaka 2012.na hili ni
ongezeko la simu milioni 125.9 kwa mwaka wote wa 2012, huku simu aina
ya simu za 3G zikiwa ni milioni 104.38. Na katika utumiaji wa
internet,wameongezeka watumiaji millioni 51 na kufanya idadi yote kuwa
ni millioni 564 huku kati ya hawa,watu milioni 420 wanatumia simu
kuingilia internet! Labda hali imesababishwa na wingi wa watu wa china
na ukubwa wa teknolojia......
Katika hali hii ukilinganisha na Tanzania ambayo inakisiwa kufikia
watumiaji milioni 36 wa simu ikifikia mwaka 2015 na inawatumiaji
millioni 5 wa internet!!!

0 comments:

Post a Comment