About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Monday, December 3, 2012

Mmmh! Mabibi wengine xooo!

Wakati hapa bongo watu wenye utulivu mkubwa na wenye heshima kiumri ni bibi zetu lakini hali ni tofauti kwa nchi kama marekani kwa wazee hawa wamekuwa na vituko vingi xanaa na hata wengine kutokea kwenye comedian movies nyingi kuliko vijana.kama ukicheki bibi huyu ambaye amekwa addicted kwa kuvutA kitu cha cigarrete aliona isiwe shinda kwenye birthday yake na akaamua kuwasha sigara yake kwenye mishumaa aliyowekewa kwenye keki yake hiyo.xaxa sijui ingekuwaje kama bibi kutoka hapa bongo angeenda kuish huko mastate nahisi kama angekuwa anashinda na na huyo bibi, yeye kwenye biruhday yake angeomba aleletewe kitu cha 'UGOROOO.......

0 comments:

Post a Comment