About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Wednesday, February 27, 2013

Huyu ndiye mtu pekee duniani anayemiliki shati/shirt la dhahabu!!!!

Wakati wewe unawaza kutumia hela zako katika mambo ya msingi na ya maendeleo kuna watu wana mawazo tofauti kabisaaa katika kutumia hela zao.katika kile kinachoitwa ufujaji wa pesa,mwanaume aitwaye DATTA PHUGE ambaye ni tajiri kutoka india aliamua kutumia pesa zake katika kujitengenezea shati la dhahabu tupu pamoja na bangili na mikufu yake! Mhindi huyu mwenye miaka 32 alisema ameamua kumiliki shati hilo la dhahabu ili kuwavutia warembo wa india japokuwa anajua yeye sio mwanaume mwenye mvuto kuliko wote duniani lakini anaamini kwamba kwa kuvaa shati hilo,hakuna mwanamke ambaye hata vutiwa naye...! Shati hilo lenye thamani ya pound(£)14,000 lilitengenezwa na goldsmiths 15 ambao walikuwa wakifanya kazi hiyo kwa masaa 16 kwa siku na shati hilo lilikamilika baada ya wiki2!!!!!!!!!!!!!!

PICTURE OF D DAY{jacob zuma's middle fingure}

Chezea weweeeeeeeee.......

Sunday, February 3, 2013

Fwd: Ee bwana dah!!! Idadi ya watu watu wanaotumia simu china yafikia billioni 1.11

---------- Forwarded message ----------
From: petercpm1@gmail.com
Date: Sat, 01 Jan 2010 00:02:39 +0300
Subject: Ee bwana dah!!! Idadi ya watu watu wanaotumia simu china
yafikia billioni 1.11
To: go@blogger.com

Eenheee! Waache wachina waitwe wachina... Katika taarifa iliyotolewa
na wizara ya viwanda na taarifa ya teknolojia nchini china{MIIT} siku
ya alhamisi, imesema kuwa idadi ya wanaotumia simu za mkononi nchini
china imefikia bilioni 1.11 hadi mwisho wa mwaka 2012.na hili ni
ongezeko la simu milioni 125.9 kwa mwaka wote wa 2012, huku simu aina
ya simu za 3G zikiwa ni milioni 104.38. Na katika utumiaji wa
internet,wameongezeka watumiaji millioni 51 na kufanya idadi yote kuwa
ni millioni 564 huku kati ya hawa,watu milioni 420 wanatumia simu
kuingilia internet! Labda hali imesababishwa na wingi wa watu wa china
na ukubwa wa teknolojia......
Katika hali hii ukilinganisha na Tanzania ambayo inakisiwa kufikia
watumiaji milioni 36 wa simu ikifikia mwaka 2015 na inawatumiaji
millioni 5 wa internet!!!

Saturday, February 2, 2013

TRUCK/LORRY KUBWA KULIKO YOTE DUNIANI

Hili ndilo lorry kubwa kuliko yote duniani hadi sasa,lorry hili aina ya classic dodge power wagon ni mara nane ya power wagon za kawaida.lorry hili pia lina uzito wa tani50 na huweza kutembea kwa power inayokuwa inatengenezwa wakati lorry likiwa linatembea.pia lina sehemu/vyumba 4 vya kulala!!! Kwa sasa lorry hili limehifadhiwa kwenye jumba la makumbusho la sheik huko abu dhabi UAE.

WEBSITE YA WAZIRI MKUU WA IRAQ YAVAMIWA NA HACKERS

Website ya waziri mkuu wa iraq NOURS AL-MALIK hapo jana ilivamiwa na hackers na kuandikwa vitu vya kudhalilishwa yeye kama ni mnyanyasaji kwa kumfananisha na rais wa syria bashir assad ambaye amesababisha vita nchini mwaje baada ya kukata kuachia ngazi.katika page ya website yake kuliandikwa
"You want to be like Bashir Assad....... Bashar is over." ujumbe uliambatanishwa na picha ya wanawake walijifunika usungi mweusi wakiwa kwenye majonzi... Hata hivyo ujumbe huu ulikaa masaa machache kwenye website hiyo na baadae website hiyo ikawa haipo kwenye mtandao.waziri mkuu nouri al-malik amekuwa akiandamwa na maandamano kutoka kwa wananchi dhidi yake.

LADY GAGA APINGA KUDAIWA NA MSAIDIZI WAKE

Msani mwenye mbwembwe za kutosha kutoka USA 'lady gaga' hapo jana katika video aliyoitoa amepinga kesi ya kudaiwa fedha na aliyekuwa msaidizi wake{PA}.msaidizi huyo aitwaye jennifer o'neill anadai kuwa anamdai lady gaga kiasi cha $393000 kama fidia ya yeye kufanya kazi nje ya muda yaani 'overtime' kwa masaa 7,168 aliyomfanyia kazi lady gaga kuanzia mwaka 2009 hadi 2011.Lady gaga amekasirishwa na kitendo hicho na kusema kwamba jennifer o'neill anataka pesa kwa kazi ambayo hajaifanya...

HATIMAYE MARIO BALOTELLI AHAMIA AC MILAN

Mshambuliaji mwenye vituko vingi na mwenye kipaji kikubwa cha kusakata kambumbu 'mario balotelli' amefanikiwa kuhamia timu ya ac milan ya nchini italy baadaa ya uhamisho wake wa kutoka man city kukamilika kwa ada ya €19m.mchezaji huyo alipoulizwa kuhusu alichokipenda na kukichukia akiwa england naye alisema;
'alichokipenda yeye ni pale alipo safiri na treni kwenda carrington walipokuwa na timu yake ya man city basii!'
na alichokichukia..
'alisema hakupenda chakula,hali ya hewa na vyombo vya habari vya uingereza!'... Hivyo mashabiki wa ac milan wawe tayari kuona tena vituko vya mario balotelli!!!!!!

PICTURE OF D DAY{kilimo kwanza}

Hichi ndio kilimo kwanza banaaa...... Cio kama hapa bongo tunaishia kukisema kwenya siasa tu!!!!!!!!!!!!

Friday, February 1, 2013

Picture of d day!!!

Students hoyeeee....!!