About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Saturday, January 2, 2010

UMEWAHI KUWAZA NI KWANINI TAREHE 1 MWEZI WA 4 KILA MWAKA NI SIKUKUU YA WAJINGA DUNIANI!! BASI JIPATIE KISA CHA JINA LA SIKU HIYO

Ukiangalia kwnye calendar ya mwaka 1752 mwezi wa 9{september}=[type on google 'september 1752 calendar'] utaundua kuwa siku 11 hazipo kwenye calendar hiyo!!
Hii ni kwasababu huo ndio ulikuwa mwezi ambao nchi ya uingereza ilihama kutoka kutumia calendar ya 'roman julian' na kuanza ku2mia 'gregorian calendar'.katika roman julian calendar kulkuwa na siku 11 zaidi ya mwaka wa gregorian,hivyo mfalme wa uingereza akaamuru siku 11 zifutwe kwenye huo mwezi.katika 'roman julian calendar' mwezi wa april ndio ulikuwa mwezi wa kwanza katika mwaka lakini katika 'gregorian calendar' iligundulika kuwa mwezi january ndio mwezi wa kwanza.Hivyo hata baada ya kuhamia ktk gregorian calendar baadhi ya watu waligoma kuacha mila za zamani na hivyo wakaendelea kusherekea 1 april kuwa ndio sikukuu ya mwaka mpya! Baada ya kusikia hivyo,mfalme akatoa amri kuwa wale wote waliokuwa bado wanasherekea mwaka mpya ktk mwezi april kuwa ni 'WAJINGA'.. Hivyo kuanzia kipindi hicho 1 april imekuwa ni"SIKUKU YA WAJINGA"

0 comments:

Post a Comment