About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Tuesday, March 12, 2013

WANYAMA MBALIMBALI WENYE ULEMAVU WA NGOZI{albino}

Hawa ni baadhi ya wanyama ambao ni albino,hali hii imekuwa ikiwashangaza watu wengi ambao wamezokuona kwamba albino ni binadamu tuu!!!! Kwa upande mwingine unaweza ukasema kazi ya mungu haina makosa kwani baadhi ya wanyama hawa wanaonekana kuwa wazuri zaidi katika hali hii mfano ni ''twiga na simba'' Hapo sasaa ilivyokuwa kabla sijajua kuwa kuna wanyama ambao ni albino,ilikuwa tu nikioneshwa picha ya mnyama mwenye rangi nyeupe,jibu hapa ilikuwa nikusema kwamba huyo mnyama ni wakizunguuuuu loo!!!

0 comments:

Post a Comment