About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Wednesday, March 20, 2013

Daah! Hebu jionee jinsi chemchem ya maji inavyoweza kuunda vitu vingi

Na hivi ndivyo wajapani wanavyosumbua na teknolojia yao japokuwa wana macho madogo!!,hapa ni teknolojia inayotoa chemchem{fountain} ya maji ambayo inaweza ikaunda alama nyingi kama vile kuonyesha muda,joto,alama za musiki na maua.teknojia hii ipo japan katika mji wa osaka sehemu itwayo 'osaka station city' na imekuwa kivutio kikubwa kwa watalii wa mambo ya teknolojia. Mtu mpaka unajiuliza kwanini vitu vingi vizuri zipo japanii?!?

0 comments:

Post a Comment