About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Tuesday, March 19, 2013

NA HIZI NDIO 3D PRINTERS NA PICHA AMBAZO ZINAWEZA KUPRINT..

Ama kweli teknolojia duniani inakua kwa kasi ya ajabu sana ambapo unaambiwa inaanza kuizidi kasi ya global warming!!!!!!! Hapa unaziona printers ambazo zimengunduliwa hizi karibuni,printers hizi zenye uwezo wa kutoa picha zenye '3D-diamension' na zina scanner zenye uwezo wa kupiga picha za 3D!! Printers aina hii zipo za aina nyingi na zinatofautiana uwezo na ukubwa,aina za ni kama [1]3dtouch printer [2]project 1500 printer na [3]cube 3d printer-ambayo ni kwa matumizi ya nyumbani na inagharimu $1299.teknolojia hii iligunduliwa kwa mwanzo mwaka 2009 ila kwa sasa ndio imekuwa developed zaidi.kwa sasa kampuni inayoongoza kwa kuzalisha printers hizi ni ya SHAPEWAYS ambayo mwaka jana ilifungua kiwanda kipya huko LONG ISLAND CITY,NEW YORK,marekani na kilizinduliwa na mayor wa new york city kwa kukata utepe wa sherehe hiyo kwa kutumia mkasi wa 3D '3D printed scissor'. Kwa hiyo kazi kwako kuipata maana zinapatikanaa... :onyo!.sio kwa maduka ya hapa bongo,hapa ni baadae sanaaaaa!

0 comments:

Post a Comment