About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Thursday, December 31, 2009

Ee bwana dah!!! Idadi ya watu watu wanaotumia simu china yafikia billioni 1.11

Eenheee! Waache wachina waitwe wachina... Katika taarifa iliyotolewa na wizara ya viwanda na taarifa ya teknolojia nchini china{MIIT} siku ya alhamisi, imesema kuwa idadi ya wanaotumia simu za mkononi nchini china imefikia bilioni 1.11 hadi mwisho wa mwaka 2012.na hili ni ongezeko la simu milioni 125.9 kwa mwaka wote wa 2012, huku simu aina ya simu za 3G zikiwa ni milioni 104.38. Na katika utumiaji wa internet,wameongezeka watumiaji millioni 51 na kufanya idadi yote kuwa ni millioni 564 huku kati ya hawa,watu milioni 420 wanatumia simu kuingilia internet! Labda hali imesababishwa na wingi wa watu wa china na ukubwa wa teknolojia......
Katika hali hii ukilinganisha na Tanzania ambayo inakisiwa kufikia watumiaji milioni 36 wa simu ikifikia mwaka 2015 na inawatumiaji millioni 5 wa internet!!!