About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Tuesday, May 28, 2013

BREAKING NEWZZ!! MSANII WA BONGO FLAVA,ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA!!

Aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flava MANGWEIR almaarufu kama KAOBAMA! Amefariki dunia huko jijini johannesburg SOUTH AFRIKA kama vyanzo vya habari vilivyotufikia kutoka nchini huko.. Msanii huyo alienda nchini huko baada ya kupata mualiko wa kufanya show kutoka kwa mmoja wa wasanii wa huko.chanzo cha kifo cha mangweir kinasemekana ni baada ya yeye kudinga madawa ya kulevya kwa kiasi kikubwa{overdose} alipokuwa katika chumba alichokuwa akilala. Hata hivyo bado haijafahamika ni lini mwili wa marehemu huyu utasafirishwa kuja Tanzania.Mangweir aliwahi kuhit na nyimbo kali zikiwemo 'mikasi na nipeni dili' Mangweir anaungana na list ya wasanii waliofariki mwaka huu wakiwamo sajuki na bibi kidude.
#RIP

0 comments:

Post a Comment