About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Saturday, May 4, 2013

HIZI NDIZO PICHA ZINAZOONESHA SWIMMING POOL ILIYOPO KATIKA GHOROFA YA 57

Kama haujawai kuikubal kauli isemayo "pesa haichagui matumizi" basi leo itakubidi uanze kuiamini!! Hizo ni picha za swimming pool katika hoteli ya kifahari iitwayo 'marina bay sands and casino bay' iliyopo singapore.swimming pool hyo kubwa ipo katika ghorofa ya 57! Ya hoteli hyo Na hutoa fursa muogeleaji kuangalia sehemu kubwa ya jiji huku anaponda raha ya kuogelea... Ila inahitaji waogelea wasio na midhahaa midhahaa maana endapo mtu atadondoka,basi tayari atakuwa ameandaliwa cheti chake cha kifo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Daaaah! pesa hizi...........................

0 comments:

Post a Comment