About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Wednesday, February 27, 2013

Huyu ndiye mtu pekee duniani anayemiliki shati/shirt la dhahabu!!!!

Wakati wewe unawaza kutumia hela zako katika mambo ya msingi na ya maendeleo kuna watu wana mawazo tofauti kabisaaa katika kutumia hela zao.katika kile kinachoitwa ufujaji wa pesa,mwanaume aitwaye DATTA PHUGE ambaye ni tajiri kutoka india aliamua kutumia pesa zake katika kujitengenezea shati la dhahabu tupu pamoja na bangili na mikufu yake! Mhindi huyu mwenye miaka 32 alisema ameamua kumiliki shati hilo la dhahabu ili kuwavutia warembo wa india japokuwa anajua yeye sio mwanaume mwenye mvuto kuliko wote duniani lakini anaamini kwamba kwa kuvaa shati hilo,hakuna mwanamke ambaye hata vutiwa naye...! Shati hilo lenye thamani ya pound(£)14,000 lilitengenezwa na goldsmiths 15 ambao walikuwa wakifanya kazi hiyo kwa masaa 16 kwa siku na shati hilo lilikamilika baada ya wiki2!!!!!!!!!!!!!!

0 comments:

Post a Comment