About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Saturday, February 2, 2013

HATIMAYE MARIO BALOTELLI AHAMIA AC MILAN

Mshambuliaji mwenye vituko vingi na mwenye kipaji kikubwa cha kusakata kambumbu 'mario balotelli' amefanikiwa kuhamia timu ya ac milan ya nchini italy baadaa ya uhamisho wake wa kutoka man city kukamilika kwa ada ya €19m.mchezaji huyo alipoulizwa kuhusu alichokipenda na kukichukia akiwa england naye alisema;
'alichokipenda yeye ni pale alipo safiri na treni kwenda carrington walipokuwa na timu yake ya man city basii!'
na alichokichukia..
'alisema hakupenda chakula,hali ya hewa na vyombo vya habari vya uingereza!'... Hivyo mashabiki wa ac milan wawe tayari kuona tena vituko vya mario balotelli!!!!!!

0 comments:

Post a Comment