About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Thursday, January 31, 2013

Justin bieber amshika shabiki wake boobs{aka matiti}

Mambo ya wazungu hayaaa!!! Katika hali ya kushtusha,popstar 'justin bieber' pande za obamaland ameshangaza mashabiki wake na watu wengi baada ya bwana mdogo huyo kumshika shabiki wake aitwaye jocelyn sehemu za 'dont touch without my permission' za dada huyo ktk season ya MEET AND GREET ktk hoteli huko miami.justin bieber alimshika dada huyo wakati akiwa anapiganae picha ya pamoja... Lakini cha kustaajabisha mwanadada huyo aliruhusu kufanyiwa kitendo hicho na bieber maana alivyoshika na kuwa kissed yeye ali smile!! Hata hivyo dada huyo amekanusha kauli inayosemwa kwamba yeye ndo alimwambia bieber amshke boobs! Zake.... Hali imefanya watu wengi kutabiri kushuka kwa level ya kisanii ya bieber maana hivi juzi alinaswa akivuta kitu cha 'weed aka ganja aka bangiii'

PICTURE OF D DAY

Wooow! Nadhan hii itakuwa fundisho tosha kwa akina fathers,dads na babas wote.....

Tuesday, January 15, 2013