About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Wednesday, January 6, 2010

HIZI NDIZO PICHA 5 ZA WATOTO ZINAZOONGOZA KWA KUPENDWA NA WATU

Zifuatazo ndio picha za kuchekesha zinazopendwa zaidi na watu.utafiti huu ulifanywa na mwanamtandao mmoja marekani ajulkanae kama 'sir pcm'.hii ni kutokana na kuangalia picha za watoto zina kuwadownloaded kwenye mitandao tofauti kuanzia mwezi january hadi october mosi{tarehe 1}.Picha hizi ambazo asilimia kubwa ni zakuedit zimekuwa zikiwachekesha watu wengi wanaoziangalia..

Sunday, January 3, 2010

Diamond platinumz na dancers wake wavua suruali stejini fiesta 2012

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayefahamika kama "diamond platinumz"alitoa kali ya mwaka baada ya kuvua trouser yake aliyovaa na kubakiwa na nguo ya ndan "boxer" kitendo hichi kilitokea ktk tamasha la fiesta 2012 ambapo mtu mzima "rick ross" alikuwepo akitoa show kali.tendo hlo la diamond limechukulia tofaut kwani kla mtu alikuwa ana maoni yake.ila jambo hili inaonekana diamond na dancers wake walikusudia kwani wote walivaa boxer zenye rangi moja.Jambo hili liliacha gumzo kubwa viwanja hivyo vya leaders

Saturday, January 2, 2010

UMEWAHI KUWAZA NI KWANINI TAREHE 1 MWEZI WA 4 KILA MWAKA NI SIKUKUU YA WAJINGA DUNIANI!! BASI JIPATIE KISA CHA JINA LA SIKU HIYO

Ukiangalia kwnye calendar ya mwaka 1752 mwezi wa 9{september}=[type on google 'september 1752 calendar'] utaundua kuwa siku 11 hazipo kwenye calendar hiyo!!
Hii ni kwasababu huo ndio ulikuwa mwezi ambao nchi ya uingereza ilihama kutoka kutumia calendar ya 'roman julian' na kuanza ku2mia 'gregorian calendar'.katika roman julian calendar kulkuwa na siku 11 zaidi ya mwaka wa gregorian,hivyo mfalme wa uingereza akaamuru siku 11 zifutwe kwenye huo mwezi.katika 'roman julian calendar' mwezi wa april ndio ulikuwa mwezi wa kwanza katika mwaka lakini katika 'gregorian calendar' iligundulika kuwa mwezi january ndio mwezi wa kwanza.Hivyo hata baada ya kuhamia ktk gregorian calendar baadhi ya watu waligoma kuacha mila za zamani na hivyo wakaendelea kusherekea 1 april kuwa ndio sikukuu ya mwaka mpya! Baada ya kusikia hivyo,mfalme akatoa amri kuwa wale wote waliokuwa bado wanasherekea mwaka mpya ktk mwezi april kuwa ni 'WAJINGA'.. Hivyo kuanzia kipindi hicho 1 april imekuwa ni"SIKUKU YA WAJINGA"

Justin bieber ahanika makalio yake njee!!

Msanii maarufu wa muziki pande za state..Justin bieber, Ameendeleza wimbi lake la matukio ya kushangaza baada ya juma lililopita kuamua kwa ridhaa yake mwenyewee bila kulazimishwa na kushawishiwa {mambo ya utii bila shuruti!} aliamua kupost picha yake kwenye page yake instagram, inayoonesha makalio AKA butts yake yakiwa wazi,transparently kabisaaaaa.suala hii amelifanya huku ikiwa ni wiki chache kupita baada ya pale aliposhangaza watu kwa kumshika shabiki wake sehemu za mat*t*.justin bieber amekuwa na matukio ya namna hii mengi tu baada ya kufikisha miaka 18 kwa sasa.hata hivyo katika swala hili la hiyo picha,meneja wake amemtetea kwa kusema kuwa alifanya hivyo kwaajili ya burudani tuu!

Friday, January 1, 2010

DIAMOND PLATINUMZ APATA AJALI

Msanii maarufu "diamond platinumz" a.k.a sukari ya warembo alipata ajali hapo jana usiku na gari yake ambayo ni mpya aina ya prado aliyoinunua shilingi milioni 60.ajali hiyo ilitoke baada ya Diamond alikuwa akirejea kwake akitokea sehemu aliyokuwa akifanya shooting ya wimbo wake mpya wa 'nataka kulewa' chanzo cha ajali hiyo kama kilivyo elezwa na diamond ni kwamba alipokuwa akiendesha gari yake alikuwa akitaka kuiovertake pikipiki iliyokuwa mbele yake na hapo ndipo alipo alipogongana na rav4 ambayo ilikuwa ikija mbele yake upande wa kulia.japokuwa ajali hiyo ilifanya gari la diamond kuharibika sana sehemu ya mbele ,hakuna aliyejeruhiwa.

PICTURE OF D DAY{pig car}

Umelickeki gari hili lenye muundo unaofanana na kitu cha 'nguruwe a.k.a pig a.k.a swine!!!!!!!!!!!!!!!!'

DIAMOND ASHINDWA KUFANYA SHOO VIZURI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA CCM

Diamond platinumz ashindwa kuperfome vizuri katika maadhimisho ya miaka 36 ya CCM yaliyofanyika leo mkoani kigoma katika kiwanja cha tanganyika.Mpango mzima ulikuwa hivi;
hapo awali Diamond alisimamishwa ili apige shoo kabla ya rais kikwete kuhotubia ila ilishindikana baada ya speaker kutoa sauti ya kukoroma na hata baada ya kuachiwa muda wakurekebisha ilishindikana..!,hivyo ikabidi ampishe mheshiwa rais kuhotubia.na baada ya rais kikwete mwenyekiti wa ccm taifa kuhotubia,Diamond pamoja na dancers wake walipewa tena nafasi ya kuperfome, hata hivyo baada ya kuimba kidogo tu! sauti ikawa bado inakoroma na kufanya diamond aache kuimba na kuanza kuongea na DJ ili aweze kurekebisha mitambo, ambapo wanakigoma wengi walikuwa na shauku ya kuona shoo ya diamond katika maadhimisho hayo..... Na baada ya mwenyekiti wa ccm,rais kikwete kuondoka kiwanjani hapo,Diamond alijitahidi kupiga shoo japokuwa kulikuwa na sauti mbaya ya speaker.......... ....

PICTURE OF D DAY{VISE VERSA}

Jaribu wewe kwenda chuoni huko alikoenda uyu jembe!!! Heee utaonaKINYULINYULI!!