About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Friday, January 1, 2010

DIAMOND PLATINUMZ APATA AJALI

Msanii maarufu "diamond platinumz" a.k.a sukari ya warembo alipata ajali hapo jana usiku na gari yake ambayo ni mpya aina ya prado aliyoinunua shilingi milioni 60.ajali hiyo ilitoke baada ya Diamond alikuwa akirejea kwake akitokea sehemu aliyokuwa akifanya shooting ya wimbo wake mpya wa 'nataka kulewa' chanzo cha ajali hiyo kama kilivyo elezwa na diamond ni kwamba alipokuwa akiendesha gari yake alikuwa akitaka kuiovertake pikipiki iliyokuwa mbele yake na hapo ndipo alipo alipogongana na rav4 ambayo ilikuwa ikija mbele yake upande wa kulia.japokuwa ajali hiyo ilifanya gari la diamond kuharibika sana sehemu ya mbele ,hakuna aliyejeruhiwa.

0 comments:

Post a Comment