About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Saturday, February 2, 2013

WEBSITE YA WAZIRI MKUU WA IRAQ YAVAMIWA NA HACKERS

Website ya waziri mkuu wa iraq NOURS AL-MALIK hapo jana ilivamiwa na hackers na kuandikwa vitu vya kudhalilishwa yeye kama ni mnyanyasaji kwa kumfananisha na rais wa syria bashir assad ambaye amesababisha vita nchini mwaje baada ya kukata kuachia ngazi.katika page ya website yake kuliandikwa
"You want to be like Bashir Assad....... Bashar is over." ujumbe uliambatanishwa na picha ya wanawake walijifunika usungi mweusi wakiwa kwenye majonzi... Hata hivyo ujumbe huu ulikaa masaa machache kwenye website hiyo na baadae website hiyo ikawa haipo kwenye mtandao.waziri mkuu nouri al-malik amekuwa akiandamwa na maandamano kutoka kwa wananchi dhidi yake.

0 comments:

Post a Comment