About

This is where new technological investions,recent news & funny stuffs r firstly found......

Tuesday, December 4, 2012

Maajabu!! Ziwa lenye rangi ya pink

Kweli dunia ina mambo mengi ndio maana wahenga wakasema ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni.katika hali ya kushangaza huko Australia kuna ziwa lenye rangi ya Pink liitwalo 'HILLER LAKE' ziwa hilo lipo katika kisiwa kwenye bahari na limekuwa kivutio kikubwa kwa watalii katika nchi ya australia.kwa uchunguzi ulifanywa na wanasayansi wamebaini kuwa rangi hiyo imesababishwa na kuwepo kwa 'ALGAE' wengi katika ziwa hilo.bado haijabainika ni matatizo gani mtu anaweza akayapata kama akinywa au kuogelea maji hayo.hivyo basi wale mabinti{a.k.a watoto} wanaopenda rangi ya pink wanaweza wakaenda kutembelea waone rangi hiyo ilivyo nzuri ila mnaombwa msiogelee.pia mimi mwenyewe naipenda rangi pink kwasababu inaanziwa na letter "P".....wow!!!!!!!!!!!!!!!!

0 comments:

Post a Comment